TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Somethin' for the People

The Typologically Different Question Answering Dataset

Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1990 na Curtis "Sauce" Wilson na Jeff "Fuzzy" Young, wote wanatokea mjini Oakland, California, pamoja na mwenyeji wa Los Angeles Rochad "Cat Daddy" Holiday. Kundi lilirekodi demo kadhaa na kuzisambaza madukani huko mjini LA, na baadaye wakaingia mkataba na Capitol Records, ambao baadaye waliwawezesha kutoa albamu yao ya kwanza mnamo mwaka wa 1993. Wakiwa kama watunzi wa nyimbo, wametunga nyimbo kwa ajili ya Samuelle, En Vogue, Brandy, na U.N.V.[1] Walivyohamia Warner Bros. Records, walizitoa upya albamu zao za awali mnamo 1996. Albamu yao ya pili, This Time It's Personal, ilibamba vibaya mno huko nchini Marekani na Kanada, mauzo yalifika platinum kwa kibao cha  "My Love Is the Shhh!",[2][3]ambacho kilishika nafasi ya #4 nchini Marekani na #7 nchini Kanada, na kundi lilifanya kazi zaidi kama watunzi wa nyimbo na midundo kimafanikio, kwa kwa kuwatungia ngoma Will Smith and Adina Howard.[1] LP ya tatu, Issues, ilifuata mnamo mwezi wa Julai 2000.

Kundi la muziki la Somethin' for the People lilianzishwa mwaka gani?

  • Ground Truth Answers: 199019901990

  • Prediction: